IDARA ya Uhamiaji Tanzania imefunga mjadala uliokuwa ukiendelea hivi karibuni dhidi ya uraia Wallace Karia kwa kusema kuwa imesema ni raia wa Tanzania.
Taarifa ya idara hiyo imedai kuwa Karia ni raia wa Tanzania baada ya kufanyika kwa zoezi la vipimo.
No comments: