Kwa mpingo hii ya TFF, soka la Tanzania litakuwa kama la Hispania
Shirikisho la Mpira
wa Miguu Tanzania (TFF), limeongeza juhudi za kufundisha makocha wa mpira wa
miguu hapa nchini ili idadi ya walimu wa mpira wa miguu wanaopaswa kushiriki
kwenye programu za maendeleo ya vijana za mikoa.
Hii ni katika kukidhi malengo ya TFF katika
kusimamia maendeleo ya soka la vijana hapa nchini.
No comments: