TFF yatoa neno kwa polisi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kutoa shukrani zake za dhati kwa Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam; Mkuu wa Wilaya Temeke jijini pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kwa namna walivyoshirikiana na Shirikisho katika kusimamia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliokutanisha timu za Azam FC na Simba, Jumamosi iliyopita
Timu zo mbili zilipambana katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam na ulimalizika kwa suluhu.
No comments: