Kapombe kuanza mazoezi Jumatatu
Beki wa kulia wa Simba Shomary Kapombe ataanza mazoezi
Jumatatu baada ya afya yake kuwa safi huku kipa wa timu hiyo, Said Mohamed ‘Nduda’
akirajiwa kuondoka wikiendi hii kwenda India kwa ajili ya upasuaji wa goti.
Manara amesama Kapombe kwa sasa yupo vizuri baada ya
kupatiwa matibabu ya tatizo lilokuwa likimsumbua huku Nduda, taratibu za zake
za kwenda india zikiwa tayari zimekamilika.
No comments: