Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa mchezo wao
dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu kwa sababu Azam ni timu nzuri.
Amesema licha ya kujipanga vizuri kwa ajili ya mechi
hiyo lakini wanaamini mchezo utakua mgumu sana tofauti na ilivyokuwa dhudi ya
Rovu Shooting.
No comments: