Header Ads

Headline
recent

Arsenal Yaanza Ligi kwa Kishindo, Yaitandika Leicester City 4-3



Timu ya Arsenal jana usiku imeanza vema Ligi kuu Uingereza baada ya kuibuka ushindi wa magoli 4-3 kwenye uwanja wake wa nyumban emirates. Ambapo mechi ilikuwa ya ushindani muda huku Arsenal ikicheza bira Staa wake Alexis Sanchez.
Arsenal ndio walikuwa wa kwanza kuandika boa katika dakika ya 2 kipindi cha kwanza mfungaji alikuwa Alexandre Lacazette ambapo bao lilidumu kwa dakika 5 tu Shinji Okazaki aliweza kuisawazishia timu yake ya Leicester City
Magori mengine ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck dakika ya 45, Aaron Ramsey dakika ya 83 na Olivier Giroud dakika ya 85. Huku magoli mengine ya Leicester City yalifungwa na Jamie Vardy dakika ya 29 na dakika ya 56.

AAGALIA MAGOLI YALIVYOFUNGWA 


No comments:

Powered by Blogger.