Singano agonga mwamba Morocco
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC
Ramadhani, Singano amerejea Dar es Salaam kimyakimya baada ya kudaiwa kushindwa
kufanya vizuri katika majaribio yake ya kucheza soka la kulipwa huko nchini
Morocco.
Inadaiwa kuwa Singano alitaka
kusajiliwa na timu ya Difaa Al Jadid ambayo hivi karibuni imemsajili Msuva lakini
zoezi hilo limeshindika baada ya kutolizishwa na kiwango chake.
No comments: