Malimi Busungu atua Ndanda FC
TIMU
ya soka ya Ndanda FC ipo katika hatua za mwisho za kujiunga na Ndanda FC kwa
mkataba wa mwaka mmoja.
Ndanda
inamtaka Busungu ambaye msimu uliopita alikuwa akiitumikia Yanga ili aweze
kuiongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya timu hiyo katika michuano ya Ligi Kuu
Bara msimu ujao.
Meneja
wa Busungu, Yahya Tostao amesema kuwa, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji
huyo atasaini mkataba na Ndanda FC baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana
na mahitaji yake.
No comments: