Header Ads

Headline
recent

Ronald Mahakamani Kwa Tuhuma za Kukwepa Kodi


Mwanasoka Cristiano Ronaldo leo amefika mahakamani huko Hispania kwa tuhuma ya kukwepa mamilioni ya kodi.
Mwanasoka huyu anatuhumiwa kwa kukwepa kiasi cha €14.7m ($17.3m; £13.1m) tangu mwaka  2010 ambazo ni sawa na Tsh.
Hata hivyo, nyota huyo wa Real Madrid amekana mashtaka hayo.
Nyota wa Argentina, Lionel Messi, anayechezea Barcelona, alihukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kukutwa na hatia kama anayotuhumiwa Ronaldo.

No comments:

Powered by Blogger.