Header Ads

Headline
recent

TANZANIA YAANGUKA VIWANGO VYA FIFA



SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoa orodha mpya ya viwango vya soka duniani vya mwezi Septemba baada.

Katika viwango hivyo, Tanzania imeporomoka kwa nafasi 11 kutoka nafasi ya 125 ya mwezi wa nyuma yake na kuangukia 136.

Kwa upande wa Kenya, nayo imeshuka kutoka nafasi ya 14 hadi 102. Burundi imesalia nafasi ya 129, Uganda ikapanda hatua moja kutoka 71 hadi 70.
Nafasi kumi za juu zipo hivi; Ujerumani, Brazil, Ureno, Argentina, Ubelgiji, Poland, Ufaransa, Hispania, Chile na Peru.

No comments:

Powered by Blogger.