MADOGO WA ENGLAND WAPETA KOMBE LA DUNIA JAPAN
TIMU ya Taifa ya England chini ya miaka 17, imefanikiwa
kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia kwa Vijana wa umri huo
inayoendelea nchini India baada ya kuiondosha Japan kwa mikwaju ya penalti 5-3.
Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Salt Lake uliopo
Kolkata huku watazamaji 53,000 wakishuhudia, ulimalizika dakika 90 timu hizo
zikiwa hazijafungana.
No comments: