Header Ads

Headline
recent

KUZIONA YANGA VS SIMBA NI 20,000


MECHI ya Yanga na Simba ni Jumamosi hii ambapo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF0 limetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Katika viingilio hivyo vilivyogawanywa sehemu mbili, wale watakaokaa kwenye Jukwaa Kuu (V.I.P) ni Sh 20,000 na mzunguko ni Sh 10,000.

No comments:

Powered by Blogger.