TFF yaunda Kamati ya Tuzo za Wachezaji Ligi Kuu Bara
Mwenyekiti, Ahmed Mgoyi |
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia kwa rais wake, Wallace Karia, limeunda Kamati ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu.
Katika kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti, Ahmed Mgoyi, Makamu Mwenyekiti ni Almasi Kasongo na Katibu Mkuu ni Amir Mhando.
Wajumbe wa kamati hiyo ni Patrick Kahemele, Kenny Mwaisabula, Said George, Ibrahim Masoud, Fatma Likwata, Salehe Ally, Gift Macha na Zena Chande.
No comments: