Ajibu aandika rekodi mpya Yanga, anabadilisha magari kama hana akili
Siku chache tu baada ya aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu kujiunga na Yanga, maisha yanaonekana kumnyookea klabu hapo.
Tangu ajiunge na
timu hiyo, Ajibu amekuwa akibadilisha magari kila wakati ambapo hivi sasa
anamiliki gari ania ya Toyota IST wakati hapo awali alikuwa akimiliki Toyota
Brevis.
No comments: