Kocha
Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga
amemwongeza Kiugo wa Young Africans, Emmanuel Martin kwenye kikosi
chake kinachojindaa kucheza na Botswana Jumamosi Septemba 2, mwaka huu.
Mchezo
huo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar
es Salaam chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la
Mpira wa Miguu (FIFA).
Yanga yaitikisa Taifa Stars
Reviewed by kadi nyekundu
on
August 31, 2017
Rating: 5
No comments: