Dembele Hawaingiza Vitani Real Madrid Na Barcelona
Real Madrid imepania kuizidi ujanja Barcelona katika harakati za kumsajili nyota wa Borussia Dortmund Ousmane Dembele.
Dembele amekataa kufanya mazoezi na Dortmund na anamini kujiunga na Barcelona kuziba pengo la Neymar, lakini Madrid wanaamini watamsajli wao.
Madrid wanaamini watatumia uhusiano wao mzuri na Dortmund kukamilisha dili hilo, na wamejipanga kumuingiza mchezaji huyo kwenye mipango yao.
No comments: