Header Ads

Headline
recent

Barcelona Yajipanga Na Dau Jipya Kwa Coutinho


 Barcelona wanaandaa ofa mpya kwa ajili ya kiungo wa Liverpool Philippe Coutinho yenye thamani ya paundi milioni 100, kwa mujibu wa  Daily Express .

Miamba hao wa Catalan walishuhudia ofa zao za paundi milioni 72 na 90 zikitoswa na Reds, ambao wanaamini mchezaji wao ana thamani ya paundi milioni 145 na hawapo tayari kumuuza.

No comments:

Powered by Blogger.