Header Ads

Headline
recent

Niyonzima Aanza Kazi Simba, Yanga Waanza Kudisi



Mashabiki wa Yanga na Simba wameanza mjadala mrefu kuhusiana na Haruna Niyonzima.

Mara baada ya Niyonzima kuonekana akiwa na jezi nyekundu na nyeupe, mjadala huo ukaanza huku wengi wakionyesha kuwa mashabiki wa Yanga, wakitoa maneno makali.

Mashabiki wa Simba walionekana kuwazodoa wale wa Yanga ambao walionekana wazi wa hasira kutokana na Niyonzima kuvaa jezi hiyo mpya.


Niyonzima ametua Simba baada ya Yanga kushindwa kuelewana naye baada ya mkataba wake kwisha.

No comments:

Powered by Blogger.