Header Ads

Headline
recent

Manji Agonga Mwamba Tena Mahakamani



Mahakama Kuu Tanzania, imetupilia mbali ombi la Yusuf Manji kutaka apatiwe dhamana katika kesi yake inayomkabiri ya kuhatarisha usalama wa taifa.

Ombi hilo la Manji lilifunguliwa na mawakili wake lakini Mahakama Kuu imepitisha uamuzi wa kulitupitia mbali na kumrudisha Gererezani Keko.

Mawakili wanaomtetea, waliamua kufungua ombi hilo baada ya mteja wao huyo kunyimwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu katika kesi inayomkabiri.

No comments:

Powered by Blogger.