Mourinho Yupo Tayari Kumnunua Gareth Bare United
Tetesi za usajiri
zikishika kasi, na kuanza kwa ligi kuu england kuanza lasmi jumamosi
hii ya tarehe
Kocha wa Manchester
United, Jose Mourinho anasema kuwa atakuwa tayari kumsajili
mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale iwapo Madrid watataka
kumuuza.
Wachambuzi wa soka akiwemo Jamie Redknapp amesema kuwa iwapo
Gareth Bale atajiunga na Manchester United majira ya joto, kwa
uhakika kabisa taji la Ligi Kuu Uingereza litatua Old Trafford.Nyota huyo wa Real Madrid hana uhakika sana na mustakabali wake katika Bernabeu kufuatia habari kuwa Zinedine Zidane yupo tayari kumuuza mchezaji huyo ili kupata fedha za kumsajili kinda wa Monaco Kylian Mbappe.
Meneja wa United Jose Mourinho amekiri kuwa atapambana na makocha wengine kumsajili Bale ikiwa mchezaji huyo wa zamani wa Tottenham Hotspur atawekwa sokoni.
Alipoulizwa kuhusu uwezekano wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kutua Old Trafford, Redknapp alisema: "Ikiwa itatokea, Bale kutua Old Trafford, nadhani ningeipa nafasi United kutwaa taji la Ligi kuu
No comments: